ORODHA YA WAFUNGAJI BORA LIGI KUU SOKA HISPANIA TOKEA ILIVYOANZISHWA MPAKA LEO (washindi wa tuzo ya Pichichi) by THE LIST — Ngoshasite.com

Hii ndio Orodha kamili ya washindi wa tuzo ya wafungaji bora La Liga maarufu kama “Pichichi” tokea ligi inaanza mpaka leo hii inayotolewa kwa mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye msimu husika. NB: Hii ni orodha ya washindi wa Tuzo ya pichichi na sio ya wachezaji wenye magoli mengi zaidi La Liga .kwa wachezaji wenye […]

via ORODHA YA WAFUNGAJI BORA LIGI KUU SOKA HISPANIA TOKEA ILIVYOANZISHWA MPAKA LEO (washindi wa tuzo ya Pichichi) by THE LIST — NIJUZEPEDIA.com

Advertisements

Watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki,kulipwa maslahi yao…>> Ngoshasite.com

Baada ya kilio kikuu kuhusu hatima ya maisha ya watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki hivyo kuondolewa kazini, hatimae serikali imekisikia na inaandaa mpango wa kuwalipa watumishi hao kwa kuwa wamehudumu katika nafasi mbalimbali serikalini kwa muda mrefu, Waziri ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Angellah Kairuki ameeleza hayo kwa […]

via Watumishi waliobainika kuwa na vyeti feki,kulipwa maslahi yao… — BONGO AWAKE NEWS

HARMONIZE NA WOLPER KUMBE BHASII MIEZI 3 NYUMAA!!!!!! — Story_nzurii

Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amedai aliachana na aliyekuwa mpenzi wake Harmonize miezi 3 iliyopita lakini waliamua kuficha kwaajili ya shughuli zao za kibiashara. Muigizaji huyo ambaye alicheza vitendo kwenye video ya wimbo ‘Niambie’ wa Harmonize, amedai wakati kazi hiyo inatoka walikuwa tayari wameachana lakini waliamua kushirikiana katika promo ya wimbo huo ambao unafanya vizuri. […]

via HARMONIZE NA WOLPER KUMBE BHASII MIEZI 3 NYUMAA!!!!!! — Story_nzurii

TOP 10 NYIMBO BORA, KALI NA MAARUFU ZA BONGO FLAVA KWA SASA HIVI by The Street Board “Top 10 Current Bongo Fleva hit songs “ — NIJUZEPEDIA.com

TOP 10 CURRENT BONGO FLEVA HOT SONGS Hizi ni nyimbo kali zinazokamata na kuwika kila kona inayofikiwa na mziki wa Bongo fleva ni muhimu kwako kama shabiki kuzitambua na kuzipakua 9download) bila kusahau kuzipigia kura zile unazohisi kufaa kuwemo kwenye chati hii. !!! “WE MAKE YA FEEL ON TOP” Sponsored by # NAFASI Msanii

via TOP 10 NYIMBO BORA, KALI NA MAARUFU ZA BONGO FLAVA KWA SASA HIVI by The Street Board “Top 10 Current Bongo Fleva hit songs “ — NIJUZEPEDIA.com

UTARATIBU MPYA WA UDAHILI WA VYUO VIKUU KWA MWAKA 2017/18 — Elimu Tanzania

Kufuatia agizo la Rais Magufuli kwa tume ya vyuo vikuu Tanzania (TCU) kutowachagulia wanafunzi vyuo vya kusoma, Tume hiyo imetoa utaratibu mpya utakaoanza kutumika mwaka huu. Utaratibu huo unawataka wanafunzi kutuma maombi moja kwa moja vyuoni badala ya kutuma TCU kama ilivyokuwa awali. Zaidi fungua kiunganishi hiki >>>>>Change_of_Admission

via UTARATIBU MPYA WA UDAHILI WA VYUO VIKUU KWA MWAKA 2017/18 — Elimu Tanzania

LIST AU ORODHA YA TIMU MABINGWA WA TAJI LA LIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA TOKEA ILIPO ANZISHWA MWAKA 1929 MPAKA HIVI LEO by THE LIST — NIJUZEPEDIA.com

ORODHA YA UBINGWA LA LIGA Bingwa wa mara ya kwanza: FC Barcelona (mwaka 1929) Bingwa mara nyingi: Real madrid (mara 33) Bingwa wa sasa hivi: Real madrid (2016/2017) Idadi ya misimu: Misimu 86 Mji ulishinda mataji mengi : Jiji la madrid ( makombe 43) Timu bora zaidi: FC Barcelona ( #1 kidunia FIFA) Timu yenye […]

via LIST AU ORODHA YA TIMU MABINGWA WA TAJI LA LIGI KUU SOKA HISPANIA LA LIGA TOKEA ILIPO ANZISHWA MWAKA 1929 MPAKA HIVI LEO by THE LIST — NIJUZEPEDIA.com